Hakuna sababu ya kupoteza wakati, huu ni mwanzo wa burudani ya kusisimua, kuelimisha na kuburudisha kupitia simulizi za Riwaya zenye msisimko wa kipekee. Kuzindua Page Yetu, ni Tamthilia ambayo mpaka sasa inasomwa na zaidi ya watu 2000 kwenye mtandao wa jamii forum, utunzi wa tamthilia hii umefikia Episode ya sita. Ungana nami kwa kusoma simulizi hii ambayo nitaanza kuirusha kwenye page hii ya magicHand. lakini Tamthilia hii inasimuliwa vizuri kabisa katika mtandao wa Reverbnation.
Wednesday, 21 May 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment